Ninyi mashabiki wa Dar mlituwekea yule mzee mangungo halafu leo mnakuja na porojo.Rejea mada tajwa ...Mimi K-BEE shabiki nguli wa MNYAMA(Simba Sport Club) na JAMII ya MGUDA kwa ujumla kwa miaka mingi tumekuwa tunaishabikia Simba SC ila sasa tunajivua Ngozi ya simba na muda huo wa kuitazama Simba bora tukae na K-bee juniors(daughter and son) tucheze nao ili wamfurahie baba yao na Jamii yao.....!
Mambo ni mengi na changamoto ni nying miongoni mwayo ni kama zifuatavyo:-
1) Timu kuwa na Kocha Msaidizi wa kudumu..kuwa na kocha msaidizi wa kudumu ni JIPU ambalo Viongozi na menejiment ya simba sc bado haijang'amua akipishana na kocha mkuu anapanda mbegu kwa wachezaji ili Kocha atimuliwe kozi anajua yeye atabaki
'SIMBA FUKUZA NA MATOLA HATUMTAKI'
2) Viongozi kushindwa kuwajibika na kupishana kauli....Mwenendo wa timu mbovu kiongozi bado unang'ang'ania madaraka hafu huna PLANI B timu inazidi kuzolota hafu MNAMTOA KAFARA CEO WA TIMU.....!! Wajumbe wa timu piganieni TIMU kwa Moyo sio vijise nt mnavyohaidiwa na viongozi MASHABIKI TUNAUMIA mpaka sasa tunashindwa hata kuleta UPINZANI chumbani
"WAJUMBE TUONDOLEENI VIONGOZI WASIO NA UCHUNGU NA TIMU"
3) MASHABIKI tunahitaji MAKOCHA kusikilizwa mahitaji yake na kufanyia KAZI....Niseme tu VIONGOZI wa SIMBA SC mmemdhalilisha sana BENCHIKA.......! Benchika uwe na safar njema tuliza moyo BONGO inamambo meng..!!
"KOCHA APEWE MADARAKA KUCHAGUA NA KUPENDEKEZA MCHEZAJI NA KUSIKILIZWA"
4) MASHABIKI tunahitaji MASKAUT wenye uchungu na TIMU na sio wale wapiga DILI wazee wa 10%...
Tumechoka Tumechoka KWAHERI MASHABIKI WENZETU WA SIMBA SC Tutaonana tena KIJIWENI na kwenye VIBANDA UMIZA kama MENEJIMENT ya SIMBA itafanyika kazi maoni YETU....!!
"Tunaitakia Simba mabadiliko Mema kwa mafanikio zaidi"
#VivaJamiiYaMguda #VivaSimbaSportClub
Ila hivi kwanini huwa anafanya vile,?? Yani unamkanyaga mtu mara mbili kweli?Kalpana na wewe uje uteme nyongo huku. Siyo unajifariji tu. Msipokuwa makini msimu huu mtashika nafasi ya tatu. Shauri zenu.
Na kipenzi chenu Chama ndiyo ameshafungiwa mechi 3 kwa kumkanyaga kwa makusudi Nickson Kibabage kwenye mchezo wa derby.
Viongozi wa Simba wapo kwenye zama za mawe!!!!Rejea mada tajwa ...Mimi K-BEE shabiki nguli wa MNYAMA(Simba Sport Club) na JAMII ya MGUDA kwa ujumla kwa miaka mingi tumekuwa tunaishabikia Simba SC ila sasa tunajivua Ngozi ya simba na muda huo wa kuitazama Simba bora tukae na K-bee juniors(daughter and son) tucheze nao ili wamfurahie baba yao na Jamii yao.....!
Mambo ni mengi na changamoto ni nying miongoni mwayo ni kama zifuatavyo:-
1) Timu kuwa na Kocha Msaidizi wa kudumu..kuwa na kocha msaidizi wa kudumu ni JIPU ambalo Viongozi na menejiment ya simba sc bado haijang'amua akipishana na kocha mkuu anapanda mbegu kwa wachezaji ili Kocha atimuliwe kozi anajua yeye atabaki
'SIMBA FUKUZA NA MATOLA HATUMTAKI'
2) Viongozi kushindwa kuwajibika na kupishana kauli....Mwenendo wa timu mbovu kiongozi bado unang'ang'ania madaraka hafu huna PLANI B timu inazidi kuzolota hafu MNAMTOA KAFARA CEO WA TIMU.....!! Wajumbe wa timu piganieni TIMU kwa Moyo sio vijise nt mnavyohaidiwa na viongozi MASHABIKI TUNAUMIA mpaka sasa tunashindwa hata kuleta UPINZANI chumbani
"WAJUMBE TUONDOLEENI VIONGOZI WASIO NA UCHUNGU NA TIMU"
3) MASHABIKI tunahitaji MAKOCHA kusikilizwa mahitaji yake na kufanyia KAZI....Niseme tu VIONGOZI wa SIMBA SC mmemdhalilisha sana BENCHIKA.......! Benchika uwe na safar njema tuliza moyo BONGO inamambo meng..!!
"KOCHA APEWE MADARAKA KUCHAGUA NA KUPENDEKEZA MCHEZAJI NA KUSIKILIZWA"
4) MASHABIKI tunahitaji MASKAUT wenye uchungu na TIMU na sio wale wapiga DILI wazee wa 10%...
Tumechoka Tumechoka KWAHERI MASHABIKI WENZETU WA SIMBA SC Tutaonana tena KIJIWENI na kwenye VIBANDA UMIZA kama MENEJIMENT ya SIMBA itafanyika kazi maoni YETU....!!
"Tunaitakia Simba mabadiliko Mema kwa mafanikio zaidi"
#VivaJamiiYaMguda #VivaSimbaSportClub
Kiukweli wachezaji wanatakiwa kupewa elimu ya fair play. Kumuumiza mchezaji mwenzako kwa makusudi siyo poa hata kidogo. Mpira ni ajira.Ila hivi kwanini huwa anafanya vile,?? Yani unamkanyaga mtu mara mbili kweli?
Kwani wewe usipoishabikia Simba unafikiri MO 29 atapata hasara. Au wewe ukiishabikia Simba timu inapata faida gani kutoka kwakoRejea mada tajwa ...Mimi K-BEE shabiki nguli wa MNYAMA(Simba Sport Club) na JAMII ya MGUDA kwa ujumla kwa miaka mingi tumekuwa tunaishabikia Simba SC ila sasa tunajivua Ngozi ya simba na muda huo wa kuitazama Simba bora tukae na K-bee juniors(daughter and son) tucheze nao ili wamfurahie baba yao na Jamii yao.....!
Mambo ni mengi na changamoto ni nying miongoni mwayo ni kama zifuatavyo:-
1) Timu kuwa na Kocha Msaidizi wa kudumu..kuwa na kocha msaidizi wa kudumu ni JIPU ambalo Viongozi na menejiment ya simba sc bado haijang'amua akipishana na kocha mkuu anapanda mbegu kwa wachezaji ili Kocha atimuliwe kozi anajua yeye atabaki
'SIMBA FUKUZA NA MATOLA HATUMTAKI'
2) Viongozi kushindwa kuwajibika na kupishana kauli....Mwenendo wa timu mbovu kiongozi bado unang'ang'ania madaraka hafu huna PLANI B timu inazidi kuzolota hafu MNAMTOA KAFARA CEO WA TIMU.....!! Wajumbe wa timu piganieni TIMU kwa Moyo sio vijise nt mnavyohaidiwa na viongozi MASHABIKI TUNAUMIA mpaka sasa tunashindwa hata kuleta UPINZANI chumbani
"WAJUMBE TUONDOLEENI VIONGOZI WASIO NA UCHUNGU NA TIMU"
3) MASHABIKI tunahitaji MAKOCHA kusikilizwa mahitaji yake na kufanyia KAZI....Niseme tu VIONGOZI wa SIMBA SC mmemdhalilisha sana BENCHIKA.......! Benchika uwe na safar njema tuliza moyo BONGO inamambo meng..!!
"KOCHA APEWE MADARAKA KUCHAGUA NA KUPENDEKEZA MCHEZAJI NA KUSIKILIZWA"
4) MASHABIKI tunahitaji MASKAUT wenye uchungu na TIMU na sio wale wapiga DILI wazee wa 10%...
Tumechoka Tumechoka KWAHERI MASHABIKI WENZETU WA SIMBA SC Tutaonana tena KIJIWENI na kwenye VIBANDA UMIZA kama MENEJIMENT ya SIMBA itafanyika kazi maoni YETU....!!
"Tunaitakia Simba mabadiliko Mema kwa mafanikio zaidi"
#VivaJamiiYaMguda #VivaSimbaSportClub
Alihitaji adhabu kali ....sema hapa Tanzania kuna wachezaji Simba na Yanga hawashikiki yani ni kama TFF inapata mgao ktk kwao...Kiukweli wachezaji wanatakiwa kupewa elimu ya fair play. Kumuumiza mchezaji mwenzako kwa makusudi siyo poa hata kidogo. Mpira ni ajira.
Mchezaji akikaa nje kwa sababu ya majeraha, na kiwango chake ndani ya uwanja kinaathirika.
Mngeanza kumpa Aucho na Mdathiri ingekuwa mfano mzuriKiukweli wachezaji wanatakiwa kupewa elimu ya fair play. Kumuumiza mchezaji mwenzako kwa makusudi siyo poa hata kidogo. Mpira ni ajira.
Mchezaji akikaa nje kwa sababu ya majeraha, na kiwango chake ndani ya uwanja kinaathirika.
Anajua alifanya hivyo atafungiwa apumzikeIla hivi kwanini huwa anafanya vile,?? Yani unamkanyaga mtu mara mbili kweli?
Simba kawa Nyau.....#Viongozi wanajua kutia hela mfukon tuKalpana na wewe uje uteme nyongo huku. Siyo unajifariji tu. Msipokuwa makini msimu huu mtashika nafasi ya tatu. Shauri zenu.