samtot JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 268 Reaction score 154 Nov 5, 2013 #1 Salaam ndugu zangu, nimeona niandike ili kupata maelezo kutoka kwa wale wanaofahamu. Nimeona kuna wakati ninapokunywa maji mengi tumbo linajaa (kwa nje linaonekana limeongezeka) na huwa inaninyima raha. Je, yaweza kusababishwa na nini? Asante
Salaam ndugu zangu, nimeona niandike ili kupata maelezo kutoka kwa wale wanaofahamu. Nimeona kuna wakati ninapokunywa maji mengi tumbo linajaa (kwa nje linaonekana limeongezeka) na huwa inaninyima raha. Je, yaweza kusababishwa na nini? Asante
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,211 Reaction score 13,051 Nov 5, 2013 #2 Inasababishwa na kunywa maji mengi..... Hasa pale unapokunywa kwa wakati mmoja....
samtot JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 268 Reaction score 154 Nov 5, 2013 Thread starter #3 Asante