Tumbo langu limejaa gesi

allypipi

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2020
Posts
3,340
Reaction score
11,017
Habari wana jamvi.

Naomba msaada tumbo langu naona limejaa sana gesi nashindwa mpaka kula vizuri.

Sijui shida ni nini maana nakula kidogo sana tumbo linakuwa lishajaa wakati sio kawaida naomba msaada ila choo bado na pata...

Ushauli tafadhali.
 
Tia magadi kijiko kikubwa kimoja weka kwa maji 1 glass then koroga kunywa. Au meza magnesium vidonge utaelekezwa pharmacy namna ya kumeza.
 
HUku ukiendelea kusubiri ushauri utakaomaliza hilo tatizo, usiogope kuachia yusuphuuuu(ushuzi) inasaidia pia japo haimalizi tatizo.
 
Pitia hospitali inawezekana una Hpylori hili tatizo limenisumbua mno ,sasa hivi natumia dozi two weeks kwa sasa
 
HUku ukiendelea kusubiri ushauri utakaomaliza hilo tatizo, usiogope kuachia yusuphuuuu(ushuzi) inasaidia pia japo haimalizi tatizo.
[emoji2955][emoji2955][emoji2955] we jamaa wew
 
Tena Bora ikukute ukiwa home kwako. 🤣
Raha uwe peke yako, kama uko kwenye gari uajiachia tu, kama unatembea kwa miguu unageuka nyuma kuangalia kama kuna mtu karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…