Nenda hospital ukafanyiwe check up kwa sababu ili utibiwe kuna v2 vitatu vya kuzingatia
1.History
2.physical examination
3.Laboratory investigation
Nje na hapo ukitaka tukuambie tatz kwa maelezo haya mafupi itakuwa ni vigumu kupewa tiba sahihi
Sent using
Jamii Forums mobile app