Naomba msada Nina tatizo la kujaa gesi hasa nyakati za usiku naomba kujua Nina tatizo gani na kuna wakati tumbo huwa kubwa gumu lililochanganyik na gesi.

Usipotafuna vizuri chakula unachokula
Kunywa Pombe Kama mdau alivyosema hapo juu pamoja na fizzy drinks
Kutafuna chewing gum
Hivi ni vitu vinavyo sababisha tumbo kujaa gas
Jaribu kunywa maji yenye bicarbonate of soda asubuhi kabla hujaweka kitu mdomoni. Huwa inasaidia kuondoa gas tumboni ila sidhani kama ni afya kunywa kila siku. Fanya mara moja moja.