Wote wapo Sawa,japo kuwa walikuwanapishana vitu vichache
Mfano
Eto'o alikuwa anatumia skills zaidi kufunga magoli
D.drogba alikuwa anatumia nguvu zaidi kufunga magoli
Mada imeisha hii Samweli Eto's alisha chukua vikombe vyote vinavyotakiwa kuchukuliwa na mchezaji Bora ,kingine Eto's ni kipaji Didie mpaka afundishwe kukamata ........