Tumalize Utata: Eto'o Vs Drogba

Zama zimebadilika sana, wakati ule ilikuwa Africa Cup of Nations imejaa A listed players wa Ligi kubwa za Ulaya.

Unakuta 1[SUP]st [/SUP]eleven ya mataifa kama Nigeria, Senegal, Ivory Coast, Cameroun, Mali (kwa mwaka walioandaa mashindano), Ghana etc yamejaa miamba inayotikisa huko Ulaya.

Leo hii wachezaji wa Africa unawatafuta kwa tochi, sasa kama Africa tumefika mara 2 tu robo fainali kipindi cha hao nguli, tusahau tena hiyo nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…