Hivi nacho ni chuo kikuu? Mie nikajua bado ni certificate. Wahadhiri 88% ni bachelors holder, ni mojawapo ya vyuo vinavyotakiwa kufungiwa KWA kutokidhi viwango

Unapopasema nilipita miaka9 iliyopita, kiukweli nenda one day pale utajionea, sio kuwa naongea from know where napafaham vizuri palivyo, wahadhiri n.k ila ukweli utabaki pale pale hakina hadhi ya kuitwa university