kwa wale ambao hawaelewi maana ya "extol" inamaanisha to "praise highly or support vigorously" yaani kwa kiswahili ni kuunga mkono kwa dhati ama kusifu. so sasa mafuta ya uganda lazima yapite nchini kenya kuelekea mombasa port kwa kutumia LAPPSET,sasa imepata a major boost