Na kitu kimoja pengine kwa dharau zao bado wanadharau hawaelewi watanzania wa kuanzia 29/10 hawatakuja kuwa sawa na wale wa kabla ya hapo. Lakini pia wanasahau ni katika udhia huu huu watu watapenyeza kadhia. Ilimradi wameonesha kwamba mtindo huu pia unakubalika wasije shangaa hayo yakachukua mkondo na Tanzania ikapasuka kwenye makundi.