Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,845
acha shobo[emoji815]WE HUJAWAHI VUTA ACHA UMBEA MTOTO WA KIUME UTAPAKATWA
pole ya niniHe he he! Pole dogo
Pole kwa Mzigo uliobebapole ya nini
umeanza tabia za waganga wa kienyejiPole kwa Mzigo uliobeba
kilichokudhuru ni moshi wala si kwasababu ulikuwa moshi wa bangi. Chukua paper ya daftari ichome uvute ule moshi uone kama hutoona mbingu znashuka! Bangi inaogopeka kwenye mindset za watu kiuhalisia bangi haina tatizo na mtuMkuu selewi jinsia yako?
Katika mada ulivuta majani ya mwarobaini pata yenyewe hii ardhi niliona inamatuta mamaee tena first pafu
jinsia ya nini?Mkuu selewi jinsia yako
wewe ulishawahi kuvuta au unasikia tu kwa watu?Hujavuta bangi wewe umevuta majani
mkuu usikubali maneno ya watu kirahisi fanya practicalTena majani ya chai
achana na bangi kwanza: ulishawahi kuvuta sigara?Aise mzee hiyo kitu acha kabisa
Mimi nakumbuka niliitest enzi hizo Niko form 4, Kuna ndugu yangu alikuwa anatumia nikaona isiwe kesi Wacha na Mimi nitafute arosto!
Aisee baada ya pafu kadhaa, break ya kwanza nilijikuta chooni!! Ewalaa nikaanza kutafakari kilichonipeleka chooni nkajikuta hata sielewi nimefikaje na nimefata Nini.
Picha la pili likaanza muda wa chai, nikashangaa chupa ya chai Iko mdomoni, hata sikukumbuka kama Kuna kutumia kikombe !!
Kiukweli ilikuwa ni siku ya vituko, nashukuru tu tulikuwa peke yetu nyumbani na Chali yangu [emoji1].
Ila nilipata funzo.
Aisee bangi sio powa. Tokea siku ile Niliapa sitorudia kujaribu kuvuta moshi wa huo mmea uliotaka kunitia uchizi!!.
Nawasilisha!!
Unauliza mahabusu centralwewe ulishawahi kuvuta au unasikia tu kwa watu?
Hapo mwanangu aliniambia ukinywa kitu Cha sukari unakata arosto, ikabidi nibugie chai hvyo hvyo.[emoji23][emoji23][emoji23] Et chupa ya chai mdomoni