Ulimbikiri NiniMi sijawahi kwakweli ila kuna demu mtaani kwetu aliniandikiaga barua ya mapenzi nikiwa kidato cha tatu juu akaandika "Zawadi ni chochote usichoke kupokea" naifungua nakuta tu makopakopa maneno matam matam nikaanza kufukuzia ili nile mbunye, nikapewa mbunye ila sikuifaidi kabisa maana demu katikati ya game alining'ata akaokota chupi yake akakimbia nikasikia tu sikupi tena kitumbua changu, nikampotezea.
Baadae alipewa mimba na msela mmoja hapohapo mtaani
Kweli Kabiisa Moja ya mistake ilikua kuandika jiina lako fullUliandika full name? Wenzio tulikuwa hatuandiki unamalizia tu wako akupendae. Au unaandika initials hata ikitokea imeokotwa au kuonekana na watu wengine wanapata kazi ya kukisia na kufananisha mwandiko
Sikumbikiri iUlimbikiri Nini
Nilikuwa namtafuna mdogomdogo huku namcheki anavyoipokea si nikabugi nikaitupia yote wee niliondoka na kovuUlimbikiri Nini
Nilipewa barua na demu wa kaka yangu, nikaifungua na kuisoma, yule demu alikua anamuomba bro ajipige picha ampelekee, sasa bro hakua na pesa ya kupiga picha, niliporudisha majibu kwa yule demu, akaniwekea pesa kwenye bahasha nimpelekee, nilipokua njiani kama kawa nikaifungu ,nikachukua changu mapema, kilichosalia nikamfikishia bro, wala hakuna aliejua maana ile pesa ilikua inazidi kiasi kinachohitajika kupigia picha.Enzi hizo nikiwa shule, moyo ukamndondokea binti fulani matata sana wa kihaya kwa jina Methodia.... Sasa naanzaje kumface? kijasho kikanitoka! Mara wazo likanijia, nikanunue karatasi mbili za barua zenye michoro ya moyo huku mioyo mingine ikiwa imechomwa mishale nimundikie barua.
Kidume nikaanza kuandika riwaya jinsi nilivomzimia Methodia, nakumbuka prepo yote iliisha kwa kushuka mashairi matamu matamu. Kisha asubuhi yake nikaikunja nikachukua bahasha nikaipulizia pafyumu kidogo ya YOLANDA, kitu kiende na manukato fulani hivi "amazing".
Siku hiyo hata masomo hayakwenda vizuri nikiwaza kumkabidhi mtoto Metty barua jioni yake after dispersion...
Kweli jioni ilifika nikamkabidhi waraka wa Mtume Mimi kwa Methodia. Akapokea kisha tukaachana huku akili yote ikisubiri kesho yake kupata majibu. Bondo la shule siku ile halikulika, prepo haikusomeka, usiku ukawa mrefu na nikawa mtu wa kwanza kuamka alfajiri yake! Kilichokwenda kutokea nilikuta barua zangu kabandika ubaoni madenti wanasoma na kucheka ile mbaya............................
Aisee waifu matirio huyo kaka yako alimuoa?Nilipewa barua na demu wa kaka yangu, nikaifungua na kuisoma, yule demu alikua anamuomba bro ajipige picha ampelekee, sasa bro hakua na pesa ya kupiga picha, niliporudisha majibu kwa yule demu, akaniwekea pesa kwenye bahasha nimpelekee, nilipokua njiani kama kawa nikaifungu ,nikachukua changu mapema, kilichosalia nikamfikishia bro, wala hakuna aliejua maana ile pesa ilikua inazidi kiasi kinachohitajika kupigia picha.
Aaa wapi, bro alikua bado hajatengeneza maisha, kula nyumbani kulala nyumbani.Aisee waifu matirio huyo kaka yako alimuoa?
Aaa wapi, bro alikua bado hajatengeneza maisha, kula nyumbani kulala nyumbani.Aisee waifu matirio huyo kaka yako alimuoa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enzi hizo nikiwa shule, moyo ukamndondokea binti fulani matata sana wa kihaya kwa jina Methodia....
Sasa naanzaje kumface? kijasho kikanitoka! Mara wazo likanijia, nikanunue karatasi mbili za barua zenye michoro ya moyo huku mioyo mingine ikiwa imechomwa mishale nimundikie barua.
Kidume nikaanza kuandika riwaya jinsi nilivomzimia Methodia, nakumbuka prepo yote iliisha kwa kushuka mashairi matamu matamu.
Kisha asubuhi yake nikaikunja nikachukua bahasha nikaipulizia pafyumu kidogo ya YOLANDA, kitu kiende na manukato fulani hivi "amazing".
Siku hiyo hata masomo hayakwenda vizuri nikiwaza kumkabidhi mtoto Metty barua jioni yake after dispersion...
Kweli jioni ilifika nikamkabidhi waraka wa Mtume Mimi kwa Methodia. Akapokea kisha tukaachana huku akili yote ikisubiri kesho yake kupata majibu.
Bondo la shule siku ile halikulika, prepo haikusomeka, usiku ukawa mrefu na nikawa mtu wa kwanza kuamka alfajiri yake!
Kilichokwenda kutokea nilikuta barua zangu kabandika ubaoni madenti wanasoma na kucheka ile mbaya............................