fieldmashal
Member
- Nov 22, 2015
- 78
- 3
KHAAAAAA....!!! Hiv hawa heslb si wawape mikopooo tuuuu daaaaah... hii nchi kila mtu anataka kula cha masikiniKuna ubaguzi mkubwa wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa continue ambapo bodi inatoa mikopo kwa upendeleo na kujuana kwa kuwaacha wanafunzi ambao ni yatima (orphan) ,walemavu na wanaosoma priority kozi....kwa uchunguzi niliofanya kwa chuoni kwangu nimegundua wanafunzi asilima 50+ ya continue waliopewa mkopo kwa sasa hivi ni watu wanaosoma kozi ambazo si za priority na hawana vigezo vyovyote vinavyowafanya wapewe mkopo, huku kukiwa na wanafunzi wengi wanaosoma kozi za priority, yatima na walemavu wakikosa mkopo, kwa sasa ni vyema bodi ikafanyiwa uchunguzi.na hii sio kwa chuo changu tuu maana hata nilivyojarbu kuwauliza wanafunzi wa vyuo vingne pale bodi nilipata majibu haya haya, .ni vyema mheshimiwa magufuli au waziri mkuu au katibu mkuu kiongozi akaangalie jipu Hili pale bodi.Na pale bodi ya mikopo mkurugenzi wao uwa hataki hata wanafunzi wamfikie ili watoe kero zao kama agizo la mheshimiwa linavyosema watendaji wa serikali wasikilize kero za wanaowahudumia sio kukaa tu ofisi na kula mshahara pia kwa masikio yangu nimemsikia mkurugenzi mkuu wa bodi ataki hata kuwaona wanafunzi wakfika kuongea na maoficer wa bodi ili wajue hatma yao yeye anataka waishie kwa customer care na walinzi watu ambao hata hawawezi kukusaidia..bodii ya mikopo ni jipu kubwa sanaaa litumbuliwe ili kuokoa wanafunzi maskini wa kitanzania.
kweli kabisaMi nimemaliza Hapo UDOM,kuna siku jina halikuja,nikaanza kufuatilia Bodi,!!!aisee,hakuna taasisi yenye utendaji mbovu kama bod,wanamajib mabovu na ya kuudhi sana,unamweleza MTU tatizo ye anasoma gazet,mwisho anakuuliza ulikuwa unasemaje,nilihangaika sana skupat mpaka namaliza chuo,ningekuwa na uwezo ile Bodi ningeifumua na kuchunguza CV za wafanyakaz,inauma sana,utakuta wanasiasa wanasema kili mtu atapata mkopo,kuna mda mwingine MTU anasema walioomba mkopo wote wamepata,wakat wanafunz weng utakuta wamekosa,Hovyoooo!Bodi ya Mikopo ndo jipu kubwa kuliko yote!
Mi nimemaliza Hapo UDOM,kuna siku jina halikuja,nikaanza kufuatilia Bodi,!!!aisee,hakuna taasisi yenye utendaji mbovu kama bod,wanamajib mabovu na ya kuudhi sana,unamweleza MTU tatizo ye anasoma gazet,mwisho anakuuliza ulikuwa unasemaje,nilihangaika sana skupat mpaka namaliza chuo,ningekuwa na uwezo ile Bodi ningeifumua na kuchunguza CV za wafanyakaz,inauma sana,utakuta wanasiasa wanasema kili mtu atapata mkopo,kuna mda mwingine MTU anasema walioomba mkopo wote wamepata,wakat wanafunz weng utakuta wamekosa,Hovyoooo!Bodi ya Mikopo ndo jipu kubwa kuliko yote!
Wajinga sana watu wanaojipendekeza kwa RAIS et mkurugenzi wa NACTE kawa msemaje wa bodi,et wrote walioomba wamepata,anajua maangaiko wanayopata waliokosa mkopo,kama VP watoe tangazo kuwa waliokosa wote waende bodi uone kama patatosha,inauma sana,unaweza kutukana MTU anavyoongea huk anatabasamu kwenye TV,hoovyoooo!nimesikia itv mkurugenzi nacte katangaza wote walioomba wamepata ila kweli kuna walioomba hawajapata sasa sielewiiii