Mkweli ni Yupi kati ya hawa: Uwazi na ukweli, Maisha bora kwa kila MT, Hapa kazi tu, Kazi iendelee
Ni awamu gani Ilitafsili kauli mbiu kwa viendo tukianza na awamu ya 3?
- Awamu ya tatu: Mzee Mkapa (R.I.P) Kaulimbiu : Uwazi na ukweli
- Awamu ya Nne: Mzee Kikwete Kauli mbiu : Maisha bora kwa kila Mtanzania
- Awamu ya tano: Joseph Magufuli Kauli mbiu : Hapa kazi tu
- Awamu ya sita: Mama Samia Kauli mbiu : Kazi iendelee