Mwaka huu UKAWA nampa, ila sijajua wanataka kufanya nini lakini naona vitu vingi wako tofauti na CCM kuanzia masuala ya ufisadi, ukosefu ajira kwa vijana, kuua sekta ya viwanda TZ, Kuongezeka kwa umaskini baina ya waTZ wengi n.k. ACT wazalendo sijawahi hata kufikiria kuwapigia kura.