Tunaunga mkono juhudi za CHADEMA kuondoa uozo uliopo nchini!Kufuatia kauli ya Freeman Mbowe kiongozi wa Upinzani nchini .chini ya Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA ya kututaka wwanachi tuandamane kikanda.
Kushinikiza mambo mbalimbali yanayoendelea hapa nchini hususani Utekaji,utesaji na uuaji kama ilivyotokea kwa Ali mohamed Kibao.
Basi, sisi tumejipanga tayari na tuko tayari maandalizi ya mwisho mwisho tunakamilisha kuhakikisha tunashiriki kikamamilifu
Nitakuwa natoa updates hapa Jf.
Licha ya jeshi la Polisi leo sept 13/2024
Kuzuia maandamano hayo.
Tunasubiri kauli ya Mbowe ya kuwajibu.
Pia tunamtaka mbowe asikubali ku surrender tunajua watawala wanaweza kumtaka ajisalimishe makao makuu ya polisi au kituo cha polisi cha oster bay kwa kauli zake za maandamano ila tunamshauri asijisalimishe.
Dhima ya maandamano haya ni kupinga, utekaji, totobima , maisha magumu, tozo, kodi na mambo mengine mengi ambayo yamekuwa magumu kwa wananchi wa taifa hili
Huu upuuzi sio mara ya kwanza kusomeka humu jukwaani., Mlijaribu kumtisha hayati JPM mkaufyata mkia na safari hii mtaufyata pia.Kufuatia kauli ya Freeman Mbowe kiongozi wa Upinzani nchini .chini ya Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA ya kututaka wwanachi tuandamane kikanda.
Kushinikiza mambo mbalimbali yanayoendelea hapa nchini hususani Utekaji,utesaji na uuaji kama ilivyotokea kwa Ali mohamed Kibao.
Basi, sisi tumejipanga tayari na tuko tayari maandalizi ya mwisho mwisho tunakamilisha kuhakikisha tunashiriki kikamamilifu
Nitakuwa natoa updates hapa Jf.
Licha ya jeshi la Polisi leo sept 13/2024
Kuzuia maandamano hayo.
Tunasubiri kauli ya Mbowe ya kuwajibu.
Pia tunamtaka mbowe asikubali ku surrender tunajua watawala wanaweza kumtaka ajisalimishe makao makuu ya polisi au kituo cha polisi cha oster bay kwa kauli zake za maandamano ila tunamshauri asijisalimishe.
Dhima ya maandamano haya ni kupinga, utekaji, totobima , maisha magumu, tozo, kodi na mambo mengine mengi ambayo yamekuwa magumu kwa wananchi wa taifa hili
Wasitafute kazi watafute elimu za kuandamana!, wataumia wasijaribu.Siku watanganyika mtakapoacha kutumia "mihemko" badala ya "akili"
Kuandamana si rahisi kama kwenda Taifa kuangalia mpira!
Maandamano huanzia maandalizi ambayo 80% ni siri...., lazima kuwe na plans za kufanikisha KAZI....plan A, B hata C iwapo plan mojawapo itabuma
Ombeni hata Masada nje kuna Taasisi zinazofundisha jinsi ya kuandaa maandamano kwa level ya "Nagasaki"
Bahati nzuri polisi wengi ni form 4 failure ambao matumizi ya akili ni 0.00009%
".....elimu, elimu,elimu...." byEdward Ngoyai Lowassa
CCM na genge lake ni maumivu zaidi ya Yale ya kansa!Wasitafute kazi watafute elimu za kuandamana!, wataumia wasijaribu.
Binadamu anaangalia maslahi yake, ukiitwa kupambana hakikisha una mgao wako unaolingana na viungo utakavyopoteza au kifoKufuatia kauli ya Freeman Mbowe kiongozi wa Upinzani nchini .chini ya Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA ya kututaka wwanachi tuandamane kikanda.
Kushinikiza mambo mbalimbali yanayoendelea hapa nchini hususani Utekaji,utesaji na uuaji kama ilivyotokea kwa Ali mohamed Kibao.
Basi, sisi tumejipanga tayari na tuko tayari maandalizi ya mwisho mwisho tunakamilisha kuhakikisha tunashiriki kikamamilifu
Nitakuwa natoa updates hapa Jf.
Licha ya jeshi la Polisi leo sept 13/2024
Kuzuia maandamano hayo.
Tunasubiri kauli ya Mbowe ya kuwajibu.
Pia tunamtaka mbowe asikubali ku surrender tunajua watawala wanaweza kumtaka ajisalimishe makao makuu ya polisi au kituo cha polisi cha oster bay kwa kauli zake za maandamano ila tunamshauri asijisalimishe.
Dhima ya maandamano haya ni kupinga, utekaji, totobima , maisha magumu, tozo, kodi na mambo mengine mengi ambayo yamekuwa magumu kwa wananchi wa taifa hili
Uwoga ndiyo akili.Unachokiogopa ndicho kitakachokumaliza by Joseph Butiku mwenyekiti taasisi ya mwl Nyerere