Tukumbushane Wanasoka wakorofi, watukutu na wababe katika Soka.

Wakuu wa jukwaa, leo tukumbushane wanasoka wakorofi katika mchezo wa kabumbu. Wanaweza wakawa na vipaji vya hali ya juu lakini bado wana tabia za ukorofi, ubabe kama sio utukutu yaani kadi nyekundu muda wowote. Wanaweza wakawa wanaendelea kucheza ama washastafu.

List yangu ni hii;
Craig Bellamy
Roy Keane
Nigel De Jong
Unamjua Paul Gascoigne "Gazza"?
 
Paul Gascoigne Gazza Hatotoea midfilder nguli kwenye tena kwenye historia ya soccer England! Usipomtaja huyu mwamba
 
IMG_1119.jpg
 
Back
Top Bottom