TUKUMBUSHANE TULIO TAILI POLINI.

1997 hyo ndio nlikatwa gov baada ya kubanwa na zipu asubhi nlipkkuwa naenda skul so pale pale libabu limoja likaja na mkisu wake likaumaliza mchezo chaaap
Hahaha pole na hongera wenda unge kuwa govinda ad Leo ila at a Mimi ni huo mwaka nime kata
 
Wengine japo tumetahiriwa hospitalini na sindano za ganzi khaaaa maumivu ni makubwa mno nakumbuka nilihisi kizinguzungu nikalala chini ya korido.
 
Halafu hii kitu hata sifahamu ladha yake,mimi nimepata fahamu bwana Abdallah kichwa wazi amekatwa tayari,ila huwa naambiwa nimepelekwa porini kitambo kirefu sana tangu Katoto.
 
1997 hyo ndio nlikatwa gov baada ya kubanwa na zipu asubhi nlipkkuwa naenda skul so pale pale libabu limoja likaja na mkisu wake likaumaliza mchezo chaaap
Mbuzi Mafia kwa muuza supu watoto wa mjini wanakwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…