Imani yangu tuko wazima.nikirudisha kumbukumbu nyuma miaka 36 iliopita,naikumbuka siku nilio katwa govi(kutailiwa)siku hii sito isahau kwa kweli.asabuhi niliona watu wengi nyumbani,niliuliza naambiwa kuna sherahe.hivyo basi uta chinjiwa kuku,utakula madafu nk.siku jari niliendele kutia fujo, kupiga kilele za hapa na pale,uku nimefungu shuka rubega.nikiomba kuvaa nguo zangu nakatazwa mpaka nionge...aaaah.
Ghafla msafara unaelekea porini nakamatwa na bebwa,nikaaza kutishiwa,nyuki hao jifiche USO. Nikiwa nakalibia kwenye kichaka,nasikia kelele mtoto analia,na muuliza alio nibeba anajibu subiri zamu yako eeeh.dk5 hazija fika nasikia sauti kubwa ikisema MSHUSHE NA HUYO..BABA fasta kanishusha,kabla cja fika chini nimeshikwa ile kisawasa..dk3 damu hiyo nimekatwa govi niliumia sana maumivi makali kuliko kawaida.KIUKWELI TULIO TAILIWA POLINI NI MAJASIRI..NA WALA HATUITAJI MKUYATI KTK TENDO.
pia kunautofauti mkubwa sana kati tulio taili porina na hospitari.