Tunamachungu,Tunaudhuni na tunamasikitiko makubwa sana na huu upandaji ya umeme kwa kiwango cha kutisha.leo namaliza siku ya 4 baada ya luku kuisha sijanunua umeme..tuko tayari ya kwa maandamano ya kupinga huo upandaji wa umeme,maana huu upandaji umegusa nyanja zote,nitashangaa sana kama police atanyanyua rungu lake na kumpiga mwananchi,maana hii inamgusa hata yeye na familia yake,,,Lakini ili maandamano haya yafanikiwe inabidi iratibiwe na TAWI LOLOTE LA CCM AU TAASISI YOYOTE ISIYO YA KISERIKALI,Naamini hapo yatafanikiwa..Na nina maana nasema kwanini yaratibiwe na CCM Na sio CDM.

ukitaka mchawi asimloge mwanawo..mpe akulele..ndo maana nikasema ccm ndo waratibuWewe kijana, chunga sana.
Hujui Ufisadi ndiyo ilani ya chama cha mizigo, sasa ulitaka tukale wapi??
Nyienyie walalahoi ndiyo tutawaminya tupate hela za kuishi maisha yetu bora tuliyoyazoea
SISI Huwa tunabebeshwa mizigo kwa uzembe wa watu wachache na ingekuwa ni serikali makini wale wote waliyoingiza hii nchi kwenye mikataba mibovu ungekuta siku nyingi wako jela..wameingia mikataba ambayo inatunyonya haswa..hata kama mtambo haufanyi kazi lazima ulipie capacity charges..mfano mdogo IPTL..Mtambo saa zingine hautumiki lakini hata kama hautumiki capacity charges kwa kila siku iko palepale..mahakama imeamuru tanesca wailipe DOWANS Na tanesco yenyewe iko hoi..sasa hapo ndo unakuta serikali inabebesha huo mzigo kwa wananchi kwa uzembe wa watu wachacheNaomba kuuliza usipolipa wewe mtumiaji wa hiyo huduma unataka ulipiwe na nani? Maana ukisema ilipe serikali kwa ruzuku, ruzuku ni kodi ya wananchi wote pamoja na wale wasiotumia. Hivyo una hisia nzuri lakini fikiri upande wa pili!
maandamano inawakilisha kilio cha wengi..ukisema uache kutumia luku na utumie solar,wataacha wachache sana na haita leta adhari yoyote kwa tanesco na wala serikali haiwezi jua kama kuna watu wameacha luku na wameanza kutumia solar..maandamano ndio ujumbe mzitomandamano ndio yataleta unafuu wa maisha? Mbona hata ukiandamana wahusika hawajali wala kusikia, ww ndiye unarudi home kuhangaika, wao ni kila kitu yaani kula kwako na kulala kwako...maandamano yawe ya cdm au ccm au cuf kwa serikali hizi za banana ni kazi bure...heri kuwaachia hizo luku na kutumia solar....
Wewe kijana, chunga sana.
Hujui Ufisadi ndiyo ilani ya chama cha mizigo, sasa ulitaka tukale wapi??
Nyienyie walalahoi ndiyo tutawaminya tupate hela za kuishi maisha yetu bora tuliyoyazoea
Tunamachungu,Tunaudhuni na tunamasikitiko makubwa sana na huu upandaji ya umeme kwa kiwango cha kutisha.leo namaliza siku ya 4 baada ya luku kuisha sijanunua umeme..tuko tayari ya kwa maandamano ya kupinga huo upandaji wa umeme,maana huu upandaji umegusa nyanja zote,nitashangaa sana kama police atanyanyua rungu lake na kumpiga mwananchi,maana hii inamgusa hata yeye na familia yake,,,Lakini ili maandamano haya yafanikiwe inabidi iratibiwe na TAWI LOLOTE LA CCM AU TAASISI YOYOTE ISIYO YA KISERIKALI,Naamini hapo yatafanikiwa..Na nina maana nasema kwanini yaratibiwe na CCM Na sio CDM.
Mie nina fikra tofauti na hizi za kudai punguzo la bei badala yake tuandamane kuishinikiza serikali kuwashtaki walioingia mikataba ya kifisadi tanesco. Hawa watu wapo na wanakula bata tu mtaani ilihali sie tunaumia.
SISI Huwa tunabebeshwa mizigo kwa uzembe wa watu wachache na ingekuwa ni serikali makini wale wote waliyoingiza hii nchi kwenye mikataba mibovu ungekuta siku nyingi wako jela..wameingia mikataba ambayo inatunyonya haswa..hata kama mtambo haufanyi kazi lazima ulipie capacity charges..mfano mdogo IPTL..Mtambo saa zingine hautumiki lakini hata kama hautumiki capacity charges kwa kila siku iko palepale..mahakama imeamuru tanesca wailipe DOWANS Na tanesco yenyewe iko hoi..sasa hapo ndo unakuta serikali inabebesha huo mzigo kwa wananchi kwa uzembe wa watu wachache
unaishinikiza serikali gan ww? Who r u kuishinikiza serikali hii na ikusikilize? Serikali ni nini na nani? Serikali kila kitu serikali...nani aliiweka madarakan?