Tuko pamoja

Samahani nilitamani pcha ionekane kwa uzuri ila nimejitahidi mpaka hapo
 
Mkuu ujumbe umefika ila ndio walivyo hawa kwani wanajiwakilisha wao wenyewe hao sio wananchi.
 
Kweli Mani hivi ndivyo wao hufanya baada ya kupewa kura!
 
kweli man hatuwezi fika kwa njia hii maana hakuna chochote anachosikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…