pipikijiti
JF-Expert Member
- Apr 25, 2017
- 309
- 407
Sijui ndo mwisho wa duniaHii ni balaaa aiseeee hata simba wameanza kupeana mambo ya uani.
DuuuhMh mbona kawaida sana
KumbeHizi zinatengenezwa makusudi kutangaza upuuzi wao.
Kwa hiyo?
Alafu inasemekana ngono inayofanywa kawaida ya dume la simba na jike la simba uchukua muda mfupi mpaka kumaliza yani ni chini ya dakika moja lakini kwa ngono iliyofanywa na simba hawa madume ilichukua zaidi ya dakika moja haijafahamika ni kwanini,,,,
A joke: mwambieni diamond abadili jina,simba wamemuaibisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Labda walinogewaAlafu inasemekana ngono inayofanywa kawaida ya dume la simba na jike la simba uchukua muda mfupi mpaka kumaliza yani ni chini ya dakika moja lakini kwa ngono iliyofanywa na simba hawa madume ilichukua zaidi ya dakika moja haijafahamika ni kwanini,,,,
A joke: mwambieni diamond abadili jina ,simba wamemuaibisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Matopeni nao,Simba wamewaaibisha,Simba mmeaibisha.
Alafu inasemekana ngono inayofanywa kawaida ya dume la simba na jike la simba uchukua muda mfupi mpaka kumaliza yani ni chini ya dakika moja lakini kwa ngono iliyofanywa na simba hawa madume ilichukua zaidi ya dakika moja haijafahamika ni kwanini,,,,
A joke: mwambieni diamond abadili jina,simba wamemuaibisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mh mbona kawaida sana