Tukidhamiria kukamata ugoni Dar watabaki wangapi?

Dubai ndiyo inaongoza kwa wingi wa mahoteli !! ivyo tusema nao ndo kama Bongo?
 
Mitego mizuri ni ile ambapo kila ukichepuka unapata kitobo usoni.
 

Kuchepuka kumekuwa majanga ndugu yangu, tena kama umeshaanza ni ngumu kuacha na mbaya zaidi na haya ma-UKIMWI sijui kama tutapona
 

Ndoa yetu mimi na Kongosho ni moja ya hizo zitakazodumu!
 
Tutabaki tunaofurahia utamu wa Yesu tu, maana vyoote ni ubatili tu:llama:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…