Tujuzane: Tanzania kuna mitandao mingapi ya simu?

Rhz4567

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
5,382
Reaction score
7,431
Hapa Tanzania kuna mitandao mingapi ya simu za mkononi
List yangu ninayo ijua
VodaCom
Smart
Tigo
Airtel
Halotel
Sasatel
Zantel
Viatel
Smile
Ttcl
Wanandugu karibuni kuongezea mingine
 
Hapa Tanzania kuna mitandao mingapi ya simu za mkononi
List yangu ninayo ijua
VodaCom
Smart
Tigo
Airtel
Halotel
Sasatel
Zantel
Viatel.
Wanandugu karibuni kuongezea mingine
Unataka kuleta mtandao wako?
 
Teltek

Elset

SamTel

BoraTel

UrafikiTel

KnightSupportel
 
Hapa Tanzania kuna mitandao mingapi ya simu za mkononi
List yangu ninayo ijua
VodaCom
Smart
Tigo
Airtel
Halotel
Sasatel
Zantel
Viatel.
Wanandugu karibuni kuongezea mingine
Nadhani hao VIETEL ndiyo HALOTEL.... ni kama TIGO na MIC

Umesahau SMILE COMMUNICATION...
 
Sasatel ilikufa kibudu.

Viettel a.k.a Halotel

Zantel ila Hawa jamaa huwa najiulizaga sijui walikosea wapi ni wakongwe sana lakini Idadi ya wateja halingani na Ukongwe wao.

Smart , hawa nao kosa kubwa ni kujikita Dar tu.

Hapo aliyekuwa mjanja ni Halotel tu, yeye alianzia kutandika minara yake vijijini (sehemu zile ambazo hakuna Net kabisa) na ndio maana ameweza kupata wateja wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…