Godfirst JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 414 Reaction score 482 Aug 31, 2022 #1 Habari zenu wakuu Lengo la kuanzisha uzi huu ni kujuzana hali na taarifa ya masoko /jinsi ya kupata masoko kwa mikoa mbali mbali. Taarifa hizi zitakua zinatupa mwanga kujua ukijitosa kulima zao fulani ujue na jinsi/ sehemu ya kuuzia.
Habari zenu wakuu Lengo la kuanzisha uzi huu ni kujuzana hali na taarifa ya masoko /jinsi ya kupata masoko kwa mikoa mbali mbali. Taarifa hizi zitakua zinatupa mwanga kujua ukijitosa kulima zao fulani ujue na jinsi/ sehemu ya kuuzia.
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 8,115 Reaction score 15,834 Aug 31, 2022 #2 Data sio bure, data ndio zimetengeneza multibilion companies kama google na facebook zinategemea data to survive, nafikiri unafanya kwa hobby tuu lakini kiukweli quality data sio bure, ukiweza kupata quality data unaweza kufanya biashara nzuri sana
Data sio bure, data ndio zimetengeneza multibilion companies kama google na facebook zinategemea data to survive, nafikiri unafanya kwa hobby tuu lakini kiukweli quality data sio bure, ukiweza kupata quality data unaweza kufanya biashara nzuri sana
me1 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 367 Reaction score 422 Aug 31, 2022 #3 Idea ni nzuri, tatizo ni credibility ya sources