Hatari ndugu watazamaji.
Lakini Hawa Ni ndugu zetu tunao kila mahari na sehemu.
Mkuu yawezekana zimetengenezwa kiwanda tofauti na Cha mwanzo.
Hivyo non functional ingredients zinatofautiana.
Vinginevyo Rudi ulikozichukulia wakazicheki vizuri.
Otherwise have a good life.
Ni heri ya wewe unayejua kuliko sisi wengi ambao tunapita peku kila siku na hatujui status zetu.!!
Hala hala, hawa watoto wa miaka ya tisini tunaita mabikira tunatumbukia ndani!
Yaani ni ile unakuwa umejisukuma ndani!!!