Hussein Saidi Mbwana New Member Joined May 28, 2018 Posts 3 Reaction score 0 Jul 27, 2018 #21 Nahitaji kujua bei ya mahindi na wapi yanapatikana kwa sasa ili tufanye biashara
ema nuel JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 570 Reaction score 577 Jul 27, 2018 #22 5000 mp 6000 debe sumbawanga
Hussein Saidi Mbwana New Member Joined May 28, 2018 Posts 3 Reaction score 0 Jul 27, 2018 #23 ema nuel said: 5000 mp 6000 debe sumbawanga Click to expand... Shukran mkuu na vipi yanapatikana kwa wingi
ema nuel said: 5000 mp 6000 debe sumbawanga Click to expand... Shukran mkuu na vipi yanapatikana kwa wingi
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,385 Reaction score 100,492 Jul 27, 2018 #24 Hussein Saidi Mbwana said: Mkuu habari yako? Nilikuwa naomba msaada wa kujua bei ya mahindi kwa sasa ni shlng ngapi na wapi yanapatikana mkuu? Click to expand... Leo Nipo sumbawanga! Sijapata taarifa bado, nikipata nitakujuza
Hussein Saidi Mbwana said: Mkuu habari yako? Nilikuwa naomba msaada wa kujua bei ya mahindi kwa sasa ni shlng ngapi na wapi yanapatikana mkuu? Click to expand... Leo Nipo sumbawanga! Sijapata taarifa bado, nikipata nitakujuza