Tujuzane Bei ya mahindi ulipo

Kuna baadhi ya wilaya ndani ya mkoa wa K'njaro gunia ni 35,000 kwa sasa so endelea kuweka mahindi yako stoo njaa ya Tz haikawii kurudi utauza kwa bei nzuri tu.
 
debe 3000 , karibu sana Sumbawanga
 
hayana thamani tena boss, huku kwetu wanagawa bure..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…