Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 191
Nimeipenda makamata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]NSUMBA BOYS
Kujificha kutokwenda darasani- chaka
Maandazi - makamata
Wasichana - Ngada
Kijana we wa enzi za JanaTabora Boys :
(i) Wasichana wa Tabora girls - Mawosoo
(ii) Kuongea pumba-kufuka
(iii) Kusoma - kubundi
(iv) Mtu anaesoma Sana - kibunda
(v) Kengele ya chakula ikipigwa - limebani
(vi) Mkuu enzi zile - Dulla
(vii) Wanafunzi wa shule ya Milambo (actually kulikuwa na bifu lisiloisha) - Walambo
(viii) Walikuepo maticha kama Manywele(alikua anadis nywele ndefu), Marwa(kauzu), Tevez(sababu uwanjani alikua anavaa tshirt imeandikwa "Tevez" mgongoi n.k
(ix) Sehemu ya wenyeji wako kipindi cha shule - ubalozini
(x) Zilikuepo chemba Kama Umofia, Galapagos, Versity, White House, n.k
(xi) Wali-Nyali
(xii) Uji-pola
Uji =sifongo.... Haha.. I like that.Wadau tukumbushane AKA za mashuleni tulikosomea.
Mimi naanza na Minaki na Umbwe:
Minaki aka Dabanga
Tumbili aka Vinyanyiko
Mkuu wa Shule aliyekuwepo wakati wetu aka Faza
Mkuu wa Shule Msaidizi aka Pilato
Maticha wengine walikuwemo kina Braza Kei, Kiburungutu, Mpapa Mabuga, Mpapampapa, Mshua, Zanta, n. k.
kwenda Jijini DSM = Kudrop Town;
Ugali = Jiwe;
Uji = Udaga
Kusoma = kuchima
Mwanafunzi anayesoma sana = Kichimbuzi
Choo cha Shimo = Cheche
Umbwe = Mti Safi;
Head Master wa wakati huo = Savimbi
Walimu wengine walikuwa kina Lobilo, Jogoo, Zimwi, Mchemfu, Bob Liz kulikuwa na mfanyakazi mdada aliyeitwa Kuku
Ugali = Bonge;
Uji = Sifongo;
ujazo wa sahani tatu za uji = Ninga moja;
Mkate wa Arusha = Mbuzi;
Eneo la mbele ya duka = Slaidi;
Kukaa eneo la mbele ya duka la shule na kuwaangalia mabinti wa Kikibosho wanapita = Kuslaidi;
Kusoma usiku kwa mda mrefu = Kurusha Eya
Choo cha Shimo = Maputo
Karibuni muongezee mengine
Asee umenikumbusha watt wakinyanyiko na ile kona yenu...umenikumbusha na Zanta, tulikuwa tunaweka kambi ya UMISETA mkoa wa pwani...good old daysWadau tukumbushane AKA za mashuleni tulikosomea.
Mimi naanza na Minaki na Umbwe:
Minaki aka Dabanga
Tumbili aka Vinyanyiko
Mkuu wa Shule aliyekuwepo wakati wetu aka Faza
Mkuu wa Shule Msaidizi aka Pilato
Maticha wengine walikuwemo kina Braza Kei, Kiburungutu, Mpapa Mabuga, Mpapampapa, Mshua, Zanta, n. k.
kwenda Jijini DSM = Kudrop Town;
Ugali = Jiwe;
Uji = Udaga
Kusoma = kuchima
Mwanafunzi anayesoma sana = Kichimbuzi
Choo cha Shimo = Cheche
Umbwe = Mti Safi;
Head Master wa wakati huo = Savimbi
Walimu wengine walikuwa kina Lobilo, Jogoo, Zimwi, Mchemfu, Bob Liz kulikuwa na mfanyakazi mdada aliyeitwa Kuku
Ugali = Bonge;
Uji = Sifongo;
ujazo wa sahani tatu za uji = Ninga moja;
Mkate wa Arusha = Mbuzi;
Eneo la mbele ya duka = Slaidi;
Kukaa eneo la mbele ya duka la shule na kuwaangalia mabinti wa Kikibosho wanapita = Kuslaidi;
Kusoma usiku kwa mda mrefu = Kurusha Eya
Choo cha Shimo = Maputo
Karibuni muongezee mengine
Minaki wasichana wenye sura mbaya = Vipori/kiporikibaha boys...!!
Kuongea pumba=kufuka
wasichana wabovu=mapolygoni
ugali=bondo
maharage=ndondo
maandz =mapisi
mikate=mipongoo
kunywa chai tupu= kupiga deki
kuoga= kuchirizi
na mengineee ongezea
#preciousKibaha
Minaki wasichana wenye sura mbaya = Vipori/kiporikibaha boys...!!
Kuongea pumba=kufuka
wasichana wabovu=mapolygoni
ugali=bondo
maharage=ndondo
maandz =mapisi
mikate=mipongoo
kunywa chai tupu= kupiga deki
kuoga= kuchirizi
na mengineee ongezea
#preciousKibaha