Tujadili: Dizasta Vina-HATIA III

Xoldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2017
Posts
424
Reaction score
153
Karibuni tujadili kwa pamoja wimbo mpya toka kwa Mwana hiphop nguli Tanzania, na mwandishi wa visa vingi kwa utunzi makini.

Video content link:
 
Ukiishi porini kama hauwindi utawindwa
 
Umeuz mifug unafuga kucha na ndevu…dizasta hatar xana
 
Umepewa zaburi ujadili wanahamisha dhahabu
 
Inasikitisha wakati wenzio wanaigiza ili waishi, we unaishi kwa kuigiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…