Uwe na katiba hii biashara ni huduma kwa jamii, unapproachable huduma unategemewa hivyo na wewe usiwaangushe. Hata upate dharura fikiria wateja wako watakula wapi?
Ukitoa huduma cha muhimu ni kupata rizk hivyo usifikirie sana faida mpaka utakapozoeleka na kupanua biashara.
Mkuu flame ushailipia tayari sasa unataka ushauri gani tena?
Nikikushauri kuwa kinondoni hiyo biashara hailipi kwa wageni sababu kuna ma tycoon wa hiyo business kama akina shishi food, lamar food, esha buheti food, je utaweza hama eneo wakati ushalipia flame?
Anza na chai, maandazi chapati supu ya utumbo, ulimi.yes i concur na yote uliyonena, ila mawazo kama per plate nicharge bei gani , je hiyo bei itaweza kucover costs nilizotumia , nianze na mpishi mmoja au wawili, namlipa kila mmoja shillings ngapi kwa siku etc , ungenipa na information juu ya hayo itapendeza zaidi dada
Kama ni kule leaders fuata ushauri huu hapa chiniSorry sijajiweka sawa boss sio frame bali ni eneo ndio napandisha taratibu frame , pia ni mbali sana na kwa kina lamar na shishi food cause nilipo ni huku karibia na leaders, sio sehemu exotic kama kina shishi pale pako extra sana mtaji wake na jina lake ulimruhusu
Anza na chai, maandazi chapati supu ya utumbo, ulimi.
Sulu unakwenda nacchapati, hakikisha unapata mpishi mzuri wa chapati ukimkosa ingia ubia na Mwajuma Ndalandefu mgawane nusu kwa nusu