Karibu sana katika kituo chetu Mount Skills Institute of Education kilichopo Mbezi Mwisho mkabala na Meru petrol station. Kwa elimu bora kwa kijana wako.
Masomo yote yanafundishwa Sayansi,Sanaa na Biashara bila kusahau masomo kwa vitendo(Science practicals) kwa maelezo zaidi nicheki pm