Huko tanzania mmeshaanza kutekeleza NWO: tazama Z'bar kimebaki chama kimoja tu, na kuanzia mwakakesho hakuna kununua wala kuuza bila kuwa na kitambulisho chenye alama ya mnyama. Na sasa kutokana na ulegelege wa serikali kutimiza matakwa ya wenye NWO ndo maana vitu muhimu kama mafuta, umeme nk havipatikani japo viko kwa wingi.