Kkimondoa JF-Expert Member Joined May 31, 2014 Posts 4,452 Reaction score 4,937 Aug 13, 2018 #21 Pohamba said: Vifutwe Mara ngapi? Uchaguzi wa marudio wa Jana CCM imeshinda Kwa 100% Wanyonge wamewachoka Wachochezi Na Matapeli Click to expand... kuna unafiki mwingine huku unaongea lakin moyo nafsini unakisuta na kukushuhudia kwamba unacho ongea ni uongo, hebu tizama mwenendo wa vhaguzi zote awamu hiii utajua ni yupi kavhokwa na wananchi ila anategemea hisani ya polisi na tume ya uchaguzi
Pohamba said: Vifutwe Mara ngapi? Uchaguzi wa marudio wa Jana CCM imeshinda Kwa 100% Wanyonge wamewachoka Wachochezi Na Matapeli Click to expand... kuna unafiki mwingine huku unaongea lakin moyo nafsini unakisuta na kukushuhudia kwamba unacho ongea ni uongo, hebu tizama mwenendo wa vhaguzi zote awamu hiii utajua ni yupi kavhokwa na wananchi ila anategemea hisani ya polisi na tume ya uchaguzi
19kato Member Joined Jan 7, 2018 Posts 63 Reaction score 127 Aug 13, 2018 #22 Ukiwa kada waccm.....utafurahia ushindi kamaa Huuu....its shame.....kwakweli