A Amiry makoye Member Joined Feb 7, 2015 Posts 12 Reaction score 3 Feb 8, 2015 #1 Kwakuwa dada zetu wanauza mwili kwa madai ya kwamba ajira hakuna na maisha ni magumu, na hiki kitu serikali ya Tanzania inakipiga vita. Je! Kuna njia mbadala ya kuwasaidia hawa madada ili wasiendelee na biashara hii!?
Kwakuwa dada zetu wanauza mwili kwa madai ya kwamba ajira hakuna na maisha ni magumu, na hiki kitu serikali ya Tanzania inakipiga vita. Je! Kuna njia mbadala ya kuwasaidia hawa madada ili wasiendelee na biashara hii!?
Bob Kawari JF-Expert Member Joined Feb 1, 2015 Posts 1,231 Reaction score 1,624 Feb 8, 2015 #2 Tukiacha kununua nao wataacha uza.
Cataliyya JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 781 Reaction score 378 Feb 13, 2015 #3 Waachane na biashara za ngono, wafanye biashara za kawaida. Binafsi nina biashara ambayo ningependa kuwajumuisha,wakiizingatia itawalipa vizuri tu.
Waachane na biashara za ngono, wafanye biashara za kawaida. Binafsi nina biashara ambayo ningependa kuwajumuisha,wakiizingatia itawalipa vizuri tu.
Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 202 Feb 13, 2015 #4 Cataliyya Hawawezi kuacha because they are ready addicted Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,892 Reaction score 5,083 Feb 13, 2015 #5 Wanapga ela nying kulko unavyofkria wew utashndwa kuwalpa tu!
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,611 Reaction score 127,998 Feb 14, 2015 #6 Bob Clinton said: Tukiacha kununua nao wataacha uza. Click to expand... Umemaliza Na Umenena Mkuu. Heko!
Bob Clinton said: Tukiacha kununua nao wataacha uza. Click to expand... Umemaliza Na Umenena Mkuu. Heko!
walitola JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,851 Reaction score 5,697 Feb 14, 2015 #7 mtena said: Wanapga ela nying kulko unavyofkria wew utashndwa kuwalpa tu! Click to expand... Saf mkuu, kwanza biashara aramu zinalipa xna waache wapige ela dada zetu.
mtena said: Wanapga ela nying kulko unavyofkria wew utashndwa kuwalpa tu! Click to expand... Saf mkuu, kwanza biashara aramu zinalipa xna waache wapige ela dada zetu.
Cataliyya JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 781 Reaction score 378 Feb 14, 2015 #8 mtena said: Wanapga ela nying kulko unavyofkria wew utashndwa kuwalpa tu! Click to expand... sio mimi naowalipa bosi ni kampuni inawalipa ela ambayo wao binafsi hawawezi kuipata
mtena said: Wanapga ela nying kulko unavyofkria wew utashndwa kuwalpa tu! Click to expand... sio mimi naowalipa bosi ni kampuni inawalipa ela ambayo wao binafsi hawawezi kuipata
walitola JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,851 Reaction score 5,697 Feb 14, 2015 #9 Ibravo said: Unaposema "Dada zetu" una maanisha nini? Nawe una dada ambae ni Malaya? Au ni bora comment tu!! Click to expand... Namaanisha watanzania wenzetu mkuu
Ibravo said: Unaposema "Dada zetu" una maanisha nini? Nawe una dada ambae ni Malaya? Au ni bora comment tu!! Click to expand... Namaanisha watanzania wenzetu mkuu