M Maharo JF-Expert Member Joined Aug 22, 2016 Posts 3,551 Reaction score 2,709 May 2, 2018 #21 Mwanahabari Huru said: kama lile gazeti lenu la Uwaro lisivyo huru? Click to expand... lile iko huru sana si kama wewe mwanahabari huru feki
Mwanahabari Huru said: kama lile gazeti lenu la Uwaro lisivyo huru? Click to expand... lile iko huru sana si kama wewe mwanahabari huru feki
M-mbabe JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 13,201 Reaction score 23,039 May 2, 2018 #22 ghiliba na ulaghai mwingiiii. afu watumishi wa Mungu maaskofu wakikemea huu utoto wajinga fulani wanaleta za kuleta!
ghiliba na ulaghai mwingiiii. afu watumishi wa Mungu maaskofu wakikemea huu utoto wajinga fulani wanaleta za kuleta!
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,684 Reaction score 103,653 May 2, 2018 #23 Benny Haraba said: Ndiyo Maana Nimesema Hivyo Hapa Tuna Hitaji Katiba Nyumbulishi Click to expand... Nimekupata sasa! Bravo!
Benny Haraba said: Ndiyo Maana Nimesema Hivyo Hapa Tuna Hitaji Katiba Nyumbulishi Click to expand... Nimekupata sasa! Bravo!
Ettore Bugatti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 4,123 Reaction score 8,254 May 2, 2018 #24 TUCTA nitawashangaa sana kama hawatafanya jambo. Hivi wajeda nao vipi maana wale wastaafu hadi leo danadana
TUCTA nitawashangaa sana kama hawatafanya jambo. Hivi wajeda nao vipi maana wale wastaafu hadi leo danadana
Mr. Bigman JF-Expert Member Joined May 7, 2011 Posts 2,560 Reaction score 1,303 May 2, 2018 #25 Mtanzanika said: We are fkcd Click to expand... You are right buddy!
Pelle mza JF-Expert Member Joined May 15, 2008 Posts 3,050 Reaction score 1,696 May 2, 2018 #26 Mwanahabari Huru said: John hana washauri au ni mgumu kupokea ushauri Click to expand... Rais hatopokea ushauri wa kuliangamiza Taifa letu.
Mwanahabari Huru said: John hana washauri au ni mgumu kupokea ushauri Click to expand... Rais hatopokea ushauri wa kuliangamiza Taifa letu.