Justin Dimee JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 1,145 Reaction score 250 Jun 19, 2014 #21 Hawakukosea Nao Inapendezaga Sana, But Ndo Ivo Kila Mtu Ana Chague Lake,
Mwadunda JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,058 Reaction score 1,775 Jun 19, 2014 #22 tinna cute said: Ni bora kuolewa na kabila / asili yako ni vzr sana na moja ya dhambi kubwa ni kwenda kinyume na hili Click to expand... Sio lazima kabila moja hata maeneo jirani na mkoa unaotoka ni nzuri pia culture zinafanana.
tinna cute said: Ni bora kuolewa na kabila / asili yako ni vzr sana na moja ya dhambi kubwa ni kwenda kinyume na hili Click to expand... Sio lazima kabila moja hata maeneo jirani na mkoa unaotoka ni nzuri pia culture zinafanana.
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,781 Jun 23, 2014 Thread starter #23 Bulldog said: Maisha hayana formula. Walisema wazee, amua wewe sasa Click to expand... inategemea ni wapi umeamulia
Bulldog said: Maisha hayana formula. Walisema wazee, amua wewe sasa Click to expand... inategemea ni wapi umeamulia