Tubadilishane Note 2+Money with Iphone 5s..

sili

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
291
Reaction score
143
Habari za leo wakuu kwa mwenye Iphone 5s kama yupo interest tubadilishane nimpe note 2 na hela...
 
Laki 1 na 50 mkuu banalunda
 
note 2 ukiuza bei gani kwani?
 
Mkuu secret ngoja nakupa update kuhusu bei muda c mrefu
 
Ligolyser dah! Hapo pagumu aisee me mwenyewe nilikuwa na iPhone 5s iko locked na apple id imenisumbua sana nikahamua kuiuza..
 
Secret service nauza 550 kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…