Tuache kuchepuka

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Siku MOJA nimekaa na DADA fulani sehemu fulani tunatalii kidogo, japo eneo lenyewe halina hata hewa safi ya kuvutia ni harufu za dagaa n' shombo... ufukwe wa kiswazi... nilipigilia pamba za wasiwasi utadhani niliazima!

Sasa katika kutafutafuta wapi tukae, nikapata SMS kutoka kwa mchizi wangu kuwa yeye yupo njiani kuelekea CoCo Beach ka vp Niunge Trailer tukajichanganye huko... nikaona ni vyema. Nikaamua nimtonye shem wenu huyu plan B hiyo... dah Akagoma... katakata yaani...
akasema amepapenda pale pa kiswazi.

Basi nikaminya nae pale mida ya gizagiza. Nikamdavua tusepe... akagoma... akahoji tunawahi wapi? keshasahau mazali ya daladala za kibongo za kupigania yaani. Duh nikaminya nikatwanga lager moja ya kupotezea tym then nikaliona Range Rover fulani linapita karibu kioo kikafunguliwa then kikafungwa, sijui ndo swaggz ama nn? gari likasepa na demu akaanza kunilazimisha tusepe eti tunachelewa.

Dah chale zikanichezacheza nikamwambia anisubiri niende kwanza Toilet. Wala sikwenda Toi nikakata chochoro ili nipate kudadavua kinachoendelea pale... nikaona anatoleana ishara na jamaa fulani hivi kipande cha mutu kuwa mimi niko msalani, dah nikamuona jamaa ananifuata msalani huku akijiwekaweka sawa. NikamSMS fasta kuwa nimesepa nipo stand ya mabasi ndo naondoka, nikaona jinsi alivyopagawa baada ya kupata ile msg. Jamaa
likatoka msalani likaenda moja kwa moja na yule demu kwenye ile gari.

Sasa na mi nikajitayarisha nitoke nduki kuwahi usafiri. huyu alinitega nitekwe nyara sasa mimi nina hadhi gani hapa jijini wakati ghetto kuna matandabui
kibao tu ukutani!! Nilivamia tu... KUDATE NA MIDADA MINGINE NOMA SANA. Sasa mzee mzima wangeni-SACRIFICE bure... Sasa hv geti kali sitoki ghetto. Viwanja naenda na masela.
 
loh shukuru Mungu amekusaidia ungekuwa mbuzi wa kafara achana naye tafuta wa kuoa kabisa, acha kurukaruka mdogo wangu"......si vizuri mtu huyu aishi peke yake nitampa msaidizi wa kufanana naye."
 
^^
Fundisho jema.. Dunia ina hadaa Kiumbe jitunze
^^
 
Braza una bahati...
Ungeenda kunyofolewa Korodani ushindwe kuzalisha manii.
 
NENDA KATOE SADAKA YA SHUKRANI....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…