Tu support mziki wa Creative undergrounds

Skudraa

New Member
Feb 5, 2017
3
2
Hasa hasa hiphop tanzania wapo vijana underground doing Great things an using their mind to create A unique sound
KAWASIKILIZENI HAWA
kutoka soundcloud
Brian simba
George gavin
Mext cortez
Mjb
Michael magow
Ben v20
Mike tarreto
Fresh like uhh
Hizi ni moja ya CREATIVE ARTIST i have ever seen in Tanzania and their producers wakina
Rachi
Domi
Brakxx
Supreme ghandi
Wana create that sound very unique sound ambayo utasikia ukisiliza album za watu kama
Kendrick lamar
Joyner lucas
K camp
Eminem
J cole
NOTE: hawa underground sio MUMBLE rappers kama kina Lil uzi vert au Migos
Hawa ni straight through style zakina
DAS EFX
naombeni tujiunge kusapoti mziki wetu mzuri
 
Back
Top Bottom