Ttcl

sali20

Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Habari zenu wanajamii kuna mtu yoyote anajuwa kinachoendelea kule TTCL kuhusu zile kazi za customer care?
 
nimesikia juu juu kama watu wameshafanya interview,ila taarifa hizi sina uhakika nazo
 
mmh wiki iliyopita nimepita pale headofice nikaambiwa bado labda wik hii ndo wataita.
 
any news ndungu?hawa watu mbona hawaiti sasa au ndo watu wao wameshawaweka mweeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…