mbona ttcl kuna unlimited download kwa 500 tsh per hour? Arusha 5 computer unatumia 30000 tsh kwa month.
Tatizo zi TTCL bali ni vyombo vilivyotazamiwa kumlinda mtumiaji wa huduma hii ambavyo kama asasi nyinginezo ndani ya serikali hii chovu ni Corrupt. Makampuni yote ya mawasiliano kuanzia Vodacom, Tigo, Zantel, Airtel n.k. ni wezi kabisa. Wizi wa namna hii kamwe usingeweza kufanywa katika nchi za wenzetu wenye serikali na vyombo vya kuhakikisha kila kinachotendeka ni halali. Tume ya mawasiliano ni bogus na yaelekea hawa mnaowaita wawekezaji washawagundua kwamba Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu na kwamba mwenye kutaka kukisukaau kukinyoa sawa. Wizi huu utakoma tu serikali mpya itakapoingia madarakani kwa tiketi isiyo ya CCM ambapo wahuni hawa watawajibishwa kwa kuhakikisha wanatenda haki.Ukinunua internet bundle unaibiwa, izo si TTCLunlimited internet wanakubania bandwith...
Hivi kuna kampuni yoyote ambayo haifanyi mchezo huu mchafu?
Aisee hii nchi kila kitu ni ujanja ujanja tu.
Hao zantel kwa kweli mimi wameniboa sana na huu wizi wanaofanya.
Bado nafanya uchunguzi kujua ni mtandao gani hawana huu mchezo ili "nihamie", nilikuwa nimeanza kuwafikiria TTCL lakini kumbe nao hawavumi lakini wamo!
Ukinunua internet bundle unaibiwa, ukichagua unlimited internet wanakubania bandwith...
Hivi kuna kampuni yoyote ambayo haifanyi mchezo huu mchafu?
Sehemu kubwa dar-es-salaam hawana coverage! Ttcl Total garbage.
Mimi sasa hiyo Voda nikiwa home mpaka ntoke nje kibalazani ndo napata net na wakati mwingine inagoma kabisaaaa. Sasa hivi sitaki kusikia nanunua elfu tatu maximum kama emergency umeme ukikata ofisini. Lol.
Wajuze wenzako unatumia mtandao gani, badala ya kuwasanifu!Hii ndio shida ya kutumia internet ya kupima na vijiko. Mimi nina connection nyumbani kwangu ya 8 Mbps. Nakosa internet tu endapo umeme ukikatika. Hayo matatizo kama yenu mimi huwa nayasikia kwenye bomba.