Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
Inashangaza sana utafikiri hawana watu wa marketing, unatangaza TBC na gazeti la uhuru unategemea nini, uhuru wana survive kwa ruzuku na TBC wana survive kwa ruzuku wao wenyewe wana survive kwa ruzuku, hawaoni umuhimu wa Wateja kwenye vyombo vingine vya habariKichekesho, TTCL inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe.
Mmmeamua kuingia kwenye biashara ya usindani, lakini hamna dalili zozote za kuonyesha kuwa mko tayari kuwa the giant and leading company in telecommunications.
Line zenu hazifanyi kazi kwa simu za kawaida mpaka kwenye simu zinazo support 4G. Hivi ni Watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua simu za 4G?
Kingine, hata matangazo hamfanyi, matangazo yenu ya biashara mmepeleka TBC, hivi kweli jamani, mnania ya dhati kabisa kuwa kampuni kubwa, au mnamdanganya tu Magufuli wa watu?
TBC haina watazamaji, watu wameipa kisogo, lakini cha kuchekesha, nyie ndio mmeona mkatangaze biashara yenu huko.....
Nyie mnahemea mashine kama haohao TBC walivyo.
Haya endeleeeni na hilo li mbinu lenu la kibiashara tutaona mtafika wapi.
Sidhani kama mna miaka miwili ya kuendelea kuwepo.
A na B yote sawaMkuu hii ni taarifa au povu?Acha tu ife rasmi TTCL maana ilikufa kitambo tu bado kuzikwa
# hyo tbc 1 yenyewe kwny kishumbuzi chao haitoi sauti....wajipange ! #Kichekesho, TTCL inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe.
Mmmeamua kuingia kwenye biashara ya usindani, lakini hamna dalili zozote za kuonyesha kuwa mko tayari kuwa the giant and leading company in telecommunications.
Line zenu hazifanyi kazi kwa simu za kawaida mpaka kwenye simu zinazo support 4G. Hivi ni Watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua simu za 4G?
Kingine, hata matangazo hamfanyi, matangazo yenu ya biashara mmepeleka TBC, hivi kweli jamani, mnania ya dhati kabisa kuwa kampuni kubwa, au mnamdanganya tu Magufuli wa watu?
TBC haina watazamaji, watu wameipa kisogo, lakini cha kuchekesha, nyie ndio mmeona mkatangaze biashara yenu huko.....
Nyie mnahemea mashine kama haohao TBC walivyo.
Haya endeleeeni na hilo li mbinu lenu la kibiashara tutaona mtafika wapi.
Sidhani kama mna miaka miwili ya kuendelea kuwepo.
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, hii ndiuo Tanzania ya maajabu na muijiza.TTCL na TBC???imeandikwa "kamwe kipofu hataweza kumuongoza kipofu mwenzake"
Kweli kabisa mkuuKichekesho, TTCL inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe.
Mmmeamua kuingia kwenye biashara ya usindani, lakini hamna dalili zozote za kuonyesha kuwa mko tayari kuwa the giant and leading company in telecommunications.
Line zenu hazifanyi kazi kwa simu za kawaida mpaka kwenye simu zinazo support 4G. Hivi ni Watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua simu za 4G?
Kingine, hata matangazo hamfanyi, matangazo yenu ya biashara mmepeleka TBC, hivi kweli jamani, mnania ya dhati kabisa kuwa kampuni kubwa, au mnamdanganya tu Magufuli wa watu?
TBC haina watazamaji, watu wameipa kisogo, lakini cha kuchekesha, nyie ndio mmeona mkatangaze biashara yenu huko.....
Nyie mnahemea mashine kama haohao TBC walivyo.
Haya endeleeeni na hilo li mbinu lenu la kibiashara tutaona mtafika wapi.
Sidhani kama mna miaka miwili ya kuendelea kuwepo.
Vipi kuhusu coverage?Kwa sasa TTCL ina internet yenye kasi kuliko mtandao wowote ule nchini TANZANIA
Wako mikoa michache kwa kuanzia kama dom ,tabora, mbeya , dar n.kVipi kuhusu coverage?
Sidhani kama wana hata 70% coverage ktk mkoa. Mfano Mwanza.Wako mikoa michache kwa kuanzia kama dom ,tabora, mbeya , dar n.k
True. Lakini tatizo network yake haipo stable, kukatika katika kwingi. Ila kwenye vifurushi hawana mpinzaniKwa sasa TTCL ina internet yenye kasi kuliko mtandao wowote ule nchini TANZANIA