Tsh 150,000=natafuta smartphone

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Iwe haijachoka sana,ram kubwa na uwezo wa kutunza chaji,ikiwa mwanza itakuwa vizuri zaidi,mwenye nayo nicheki kwa pm
 
nakushauri kama unataka smart4ne kwa bei hzo nenda kanunue ya TTCL iko poa sana mi nimenunua natumia kwa internet 2 ina kila kitu ila inatumia CDMA huwezi weka laini nyingine lakini iko poa mambo ya WHATSAP na vitu vingine vingi utavikuta ikiwemo solar charger na program kibao za kuistal kutoka google play kwa sh 180000 tu....na c unajua cku hizi wamezindua basti ....mi najiunga na ile ya 100mb kwa sh 500 kwa siku ni nzuri sana m alinitonya mtu nikachukua hata kupiga sio ishu kubwa
 
na kwa mwanza mi mwenyewe npo mwanza kikazi ndo naitumia kwa kila kitu ukitaka maelekezo unione nikuelekeze mana wale madada pale customer care hawajui chochote
 

thanx mkubwa ntakutafuta
 
Iwe haijachoka sana,ram kubwa na uwezo wa kutunza chaji,ikiwa mwanza itakuwa vizuri zaidi,mwenye nayo nicheki kwa pm

Ongeza 150 nikupe galaxy captivate

Sent from my SGH-I897 using Tapatalk 2
 
Nicheki kwa +255756851815.
Ninayo samsung galaxy pocket. Ina 2gb internal memory, 500mb ram, na ina android os 2.3.6 gingerbread.

nipo mwanza pia
 
kuna curve one hapa kwa 130 na unabaki na chenji yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…