Trump ajiita ‘Kaimu Rais wa Venezuela’ katika chapisho lake kwenye mtandao wake 'Truth Social'

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Rais wa Marekani Donald, ajiita ‘Kaimu Rais wa Venezuela’ baada ya zaidi ya wiki moja tangu jeshi la Marekani kuivamia Venezuela na kumkamata rais wake, Nicolás Maduro.

Kupitia mtandao wake wa Truth Social, Trump alichapisha picha iliyofanana na ukurasa wa Wikipedia, ikionyesha picha yake rasmi na kumtaja kama Rais wa 45 na 47 wa Marekani, huku juu yake ikisema pia kuwa yeye ni Kaimu Rais wa Venezuela.

Hata hivyo, taarifa hiyo haikuonekana kwenye ukurasa halisi wa Trump katika Wikipedia.
 
Katika kipindi hiki cha vita ya tatu ya dunia, tunawahitaji viongozi wenye uthubutu kama trump.

God bless you DJT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…