True story nifanyeje

Ata ukimshauri kwa kumkataza mtoto yuko pale, ipo siku atashindwa adi kulala kwa mama wa mtoto!! Na hapo ndo wa pili atapatikana
 
Ngumu kumeza, Ila inamezeka.

Ni kuulize swali. Wewe ni dini gani?

Kama dini yako inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja OA.

Uyo wa benki ndo Bi mkubwa. Kama unataka kuacha mmoja muache wa mwisho.
 
Ila nakushauri chukua watoto wako wote walee, hakuna mateso mabaya na ya kilaana kama kutelekeza watoto, chukua waweke sehemu moja walee, swala la wazazi wa hao watoto majibu yatakuja baadae
 
Uyo dada alifanya maamuzi magumu mno yani anazaaje na mtu hamjui kabisa
 
Huu ushawishi mbayaa. Jamaa ajiseme kwa mke wake (Kama anae) kuhusu kuwa na mtoto ujanani, Basi. Kuzaa Tena mtoto wa pili wakati ana mke ndani Ni kuongeza tatizo
Sasa hivi muambie ajitahidi aongeze dau.
50,000 ya kwanza ilikuwa ndogo sana.
Ikiwezekana mkubaliane kabisa sh ngapi.
 
Duuuh!! Mchukue mwanao ndugu ila napata mashaka hapo kwenye ubini aliujuaje.
 
Mimi ndio sijaelewa au vipi? Kwani mwanzoni mlipeana majina ya ukweli ukweli au? Nashangaa binti kutumia ubin wako..... Naomba ufafanuzi chief? Na Kama alikufahamu Hadi majina yako kwanini asingekutafta kwenye mitandao ya kijamii kabla?
 
Pole Sana mkuu! Hilo bhna sio la kulikurupukia, kama tayri uko na familia nyingine basi achana nae kabisa kamwe usirudie kosa la kizembe namna hiyo otherwise uoe mke wa pili Kama dini yako inakuruhusu na moyo wako utaridhiana naye.
 
Sasa hivi muambie ajitahidi aongeze dau.
50,000 ya kwanza ilikuwa ndogo sana.
Ikiwezekana mkubaliane kabisa sh ngapi.
Acha ukorofi wewe mwana nke,😁😁😁
 
Sioni kilichokuleta humu. Ishu imenyooka hiyo. Kama huamini, fanya kama mlivyofanya wakati wa kumtafuta! Pale mlipima HIV sasa pima DNA!

Chukua mtoto mazee

Bazazi
 
Reactions: amu
etiii shetty baby
Yani shetani a.k.a shetty baby au shettylicius bin ibilis, kila akitaka kumharibia mwanaume ni lazima apitie kwa manamke. Alianzia eden, imekua mazoea sasa!
 
Hivi navyo ni vya kuwaza hadi ulete vijadiliwe humu.Wengine taarifa zetu ni kubwa kuliko na kuzijua ni kazi.

Kutambulishwa tu unaona shida au hii story umetunga maana vijana wa siku hizi kwa riwaya hamjambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongea na mkeo afu beba mwanao. Ila jiandae kisaikilojia mkeo hata lipokea vizuri pengine. Cha muhimu leo watoto wako.

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Wadau wengi humu wameshauri kuhusu jamaa kumchukua mtoto na kumlea,
kuna inshu ya mama wa kambo hapo tayari,hili mnalichukuliaje sijui maana sijawahi kumuamini mama wa kambo mimi
 
Niamini mimi huyo mwanamke alikua ameolewa kweli ila hapo katikati aliachika, hiyo ni baada ya kupata mtoto na mzee anajijua hana uwezo wa kuzaa.......

Nasema hivo coz ukiangalia hiyo sababu ya kutaka kuzaa na wewe sijui ofisin bos alimzingua ina ukakasi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…