Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Ndio pamoja na jembe lakena jembe au
pia kuna mdau anauliza hapa je baada ya kununua mnaweza kumpa training ya kulitumia direct shamban?
Mkuu Hilo trekta lako ni namba D au C?Yeye anunue kwanza mengine baadae
Mkuu hiyo 80Hp ndio yenyewe au umekosea maana hata kikolola changu kina 120HpBrand: Massey Ferguson
Model: 290
Engine
Power: 80 HP
2WD
Bei mil 21 mazunguzo yapo
0742228231View attachment 1172721View attachment 1172722View attachment 1172723View attachment 1172725View attachment 1172726View attachment 1172730
Si langu. Ngoja mtoa mada ajeMkuu Hilo trekta lako ni namba D au C?
Maana huwa naonaga Bei zake likiwa jipya kwenye showroom ni 30mil
Ipo moro mkuuipo wP mkuu?
Mkuu hili ni used limetoka nje hata namba halina, namba itatoka D baada ya usajiliMkuu Hilo trekta lako ni namba D au C?
Maana huwa naonaga Bei zake likiwa jipya kwenye showroom ni 30mil
Hilo sio tatizo, tufanye biashara mambo mengine yatafata baadaepia kuna mdau anauliza hapa je baada ya kununua mnaweza kumpa training ya kulitumia direct shamban?
Aina gani yako?Mkuu hiyo 80Hp ndio yenyewe au umekosea maana hata kikolola changu kina 120Hp
Nishamjibu, namba halina sababu limetoka nje ya nchiSi langu. Ngoja mtoa mada aje
Ni kweli trekta ni fursa, lakini sisi tunayotoa nje tunauza hapa kwetumbona unauza fursa
hivi haya mambo yanalipiwa ushuru pale portNi kweli trekta ni fursa, lakini sisi tunayotoa nje tunauza hapa kwetu
Yalikuwa manne moja lishauzwa, la pili ndio hili na kuna mengine mawili yapo boda