Transporter_car_rental
Member
- Nov 9, 2022
- 13
- 2
Ndio bossGood work..... Hizo package ni kwa siku?
Huduma hiyo ya self hatuna sababu madereva tunaoMzeya hukodoshi range kwa siku japo tukatese kitaa na kula mbususu?
Bei gani range kwa siku self drive?
Sasa mzeya nataka kwenda zangu sengengeti na kimada tena unanipa dereva ili ajue naenda kugegedaπ€£π€£π€£π€£π€£Huduma hiyo ya self hatuna sababu madereva tunao
Sababu uliyoitoa haina mashiko mkuu. Wewe sema kampuni yenu haina miundo mbinu ya kuruhusu self drive kufanyika.Huduma hiyo ya self hatuna sababu madereva tunao
Nime mfahamisha kwamba madereva tunao wewe unasema sababu haina mashiko ipi yenye mashiko na unataka miundo mbinu ipi iboreshwe sababu ya kuto kutoa self wengi hawajali mali za watu anaweza kusababisha uharibifu wa chombo,matumizi tofauti na makubaliano,watu kutokuwa waaminifu anaweza kufanya tukio lolote lile na kuleta shida kwenye kampuni.Sababu uliyoitoa haina mashiko mkuu. Wewe sema kampuni yenu haina miundo mbinu ya kuruhusu self drive kufanyika.
Toyota wish bei gani kwa siku kwa Dar tu.TRANSPORTER CAR RENTAL.
1.Our company dealing with hiring luxury cars for
*Tours trips
*Wedding
*Sendoff
*Offices trips
*Airport trips pickup and drop off
*Funeral
*Private uses
For more details please contact us;
Call & whatsapp. +255 719 907 584
Call & message. +255 758 412 981
location: Mabibo,Dar es salaam,Tanzania
Infoπ‘transportercarrental.co.tz
Website: https://www.transportercarrental.co.tz
Instagram:Transporter_car_rental
2.Website Disn
*Hosting
*Domain
*Free Ssl certificateView attachment 2453341View attachment 2453340View attachment 2453343View attachment 2453342View attachment 2453344View attachment 2453347View attachment 2453346View attachment 2453345View attachment 2453348
Rekebisha hapo kidogo hapajakaa sawa... kwenye Tangazo inabidi kila kitu kiwe top notchTRANSPORTER CAR RENTAL.
1.Our company dealing with hiring luxury cars for
Wapi?Rekebisha hapo kidogo hapajakaa sawa... kwenye Tangazo inabidi kila kitu kiwe top notch
Kwako ndio inaonekana hivyo lkn kwangu inaonekana nzima.Our company deals with hiring luxury cars for
*Tour trips
*Wedding
*Sendoff
*Office trips
*Airport trips (pickup and drop off)
*Funeral
*Private uses
Itapendeza zaidi au
Our Company Deals with Luxury Car Hiring for......
Tours
Wedding n.k.
TRANSPORTER CAR RENTAL..Our company deals with hiring luxury cars for
*Tour trips
*Wedding
*Sendoff
*Office trips
*Airport trips (pickup and drop off)
*Funeral
*Private uses
Itapendeza zaidi au
Our Company Deals with Luxury Car Hiring for......
Tours
Wedding n.k.