Tatizo lenu wakenya tukibishana humu mnachukulia vitu personal ila kiukwel we want nyie kua makini kwenye maswala ya rushwa na ujuaji mwingi ili tuisogeze hii vita ya uchumi mbele.... We want each other for really..
Sent using
Jamii Forums mobile app