Njia pekee ni Rais wetu ambae ninahisi anauthubutu mkubwa kufumua mikataba yote, hapo atakuwa shujaa wa karine. Vinginevyo hakuna la maana, Zambia wana shaba tu na wanaishi vizuri kuliko Tz yetu, mikataba yao iko vizuri. Hata tukizidi vumbua madini zaidi, kwa ujinga tulionao wa mikataba haitusaidii. Rais hana sababu ya kuongea mpaka mishipa inamtoka, apige tu chini mikataba, tutampenda daima.